Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Paredi la ubingwa UEFA CL, PSG yateka jiji la Paris

Дата публикации: 01-06-2026 10:46:22

PARIS Saint-Germain (PSG) imefanya paredi la kushangilia ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/26 baada ya kuichapa Arsenal kwa mikwaju ya penalti katika fainali iliyopigwa jijini Budapest nchini Hungary Mei 30, 2026.
Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 baada ya dakika 120 za ushindani mkali, kabla ya mabingwa hao wa Ufaransa kuibuka na ushindi kwenye changamoto ya mikwaju ya penalti.
Ushindi huo kwa PSG unathibitisha ubora wao barani Ulaya na kuifanya klabu hiyo kuendelea kutawala soka la bara hilo baada ya kutetea kwa mafanikio taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.
PSG msimu huu pia imebeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘League 1’ ikimaliza msimu kwa pointi 76.

Основное содержимое страницы с новостью.

Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Paredi la Arsenal latikisa mitaa ya London012.4501-06-2026
2Mbappé aumia goti, kuikosa mechi ya Ubelgiji05.8926-09-2026
3UEFA yaonya soka Ulaya, yagawanyika08.4425-09-2026
4Mhilu mambo safi Geita Gold011.526-09-2026
5Kanuni mpya EPL zaanza kupunguza upotezaji muda uwanjani09.926-09-2026
6Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 Mexico08.0712-06-2026
7Lamine: Mbappe na mimi ndo bora zaidi duniani08.4425-09-2026
8Latvija ļoti vāja šautuvē – Rastorgujevam viens, Bendikai divi un Birkentālam trīs apļi013.2415-03-2026
9Ronaldo akosa bao, atolewa06.8825-09-2026
10Serie A Femminile - La Juventus batte il Napoli 3-1, reti bianche in Lazio-Parma012.3926-09-2026

Классификация: Спорт. Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 8.02. Источник: www.mwanaspoti.co.tz.