Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa Serikali, akiwemo wakuu wa wilaya (ma-DC) 22 huku wengine 26 wakihamishwa katika vituo mbalimbali.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa Serikali, akiwemo wakuu wa wilaya (ma-DC) 22 huku wengine 26 wakihamishwa katika vituo mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu usiku wa leo Jumanne, Septemba 29, 2026, uteuzi na uhamisho huo umefanyika kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka.
Pia, Rais Samia amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya (DAS) 12 huku wanne wakihamishwa vituo vya kazi. Aidha, wakurugenzi wa halmashauri (DED) 17 wameteuliwa na 33 wakihamishwa.
Miongoni mwa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni waliowahi kuwa wabunge.
Soma taarifa yote hapa chini.
| # | Наименование новости | Тональность | Информативность | Дата публикации |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Dawasa yaweka uangalizi maeneo 20 kukabili El- Nino | 0 | 22.5 | 28-09-2026 |
| 2 | Gachagua akataa shinikizo la kujiunga na Muungano wa Ukombozi | 0 | 6.08 | 29-09-2026 |
| 3 | Abiria waendelea kusota Magufuli, safari zahamishiwa kesho | 0 | 6.09 | 29-09-2026 |
| 4 | Mayele aweka mikakati mipya TRA United | 0 | 8.56 | 26-09-2026 |
| 5 | Namibia: Nored CEO Confirms Suspension | 0 | 7.9 | 24-09-2026 |
| 6 | Katambi asitisha kukata pointi, awataka madereva kurejea kazini | 0 | 5.7 | 29-09-2026 |
| 7 | Kenya: Mizani Poll - Ruto Leads Kalonzo, Sifuna in Presidential Preference Survey | 0 | 11.24 | 25-09-2026 |
| 8 | Молдавская оппозиция инициировала отстранение Санду от должности | 0 | 6.6 | 29-09-2026 |
| 9 | Neema Kusekwa: Mgore, Manula wampa maujanja | 0 | 7.66 | 26-09-2026 |
| 10 | В парламенте Молдавии начали процедуру отставки президента Санду | 0 | 7.85 | 29-09-2026 |